Kipimo cha "Serum Gestrin"

Myfancyface

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
948
900
Kuna ndugu yangu anaumwa sana hapa Muhimbili. Anatapika sana damu mpaka inapungua sana na kupelekea kuongezewa.

Ametibiwa sana vidonda vya tumbo na hali yake inazidi kuwa mbaya. Baada ya kupima vipimo vyote, including cancer madaktari hawaamini kuwa vidonda ndivyo vimesababisha kutapika huku. Ukizingatia ametumia PPI zaidi mara 7, na yuko kwenye dozi za esomaprazole.

Swali
Kipimo cha Serum Gastrin kinapatikana wapi?!! Tumeambiwa hapa "Hospitali ya Rufaaa ya Taifa na Tanzania" hakipo.

Msaada tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom