Kipimo cha Kiwango ubongo ulivyotumika

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,511
1,844
Habari zenu wana jamvi,

Nimefikiri namna kompyuta inavyofanya kazi, hasa CPU. Kwa ujuzi wangu mdogo nimeona kuna uwezekano CPU ikaonyesha utofauti fulani kuashiria imetumika sana(imefanya kazi kubwa na kwa muda
mrefu), mf. application kufunguka kwa taabu, au wakati wa kuwaka inachukua muda mrefu(ingawa inaweza sababishwa na hardware pia) n.k.

Nikajaribu kuihusianisha na Ubongo wa binadamu(inasemekana CPU ni kama ubongo wa computer). Binadamu tumetofautiana umri, na mambo tuliyopitia, kuna watu wanafikiri kwa kiwango kikubwa sana(vitu vingi), na wengine wanafikiri kwa kiwango kidogo tu katika kutatua changamoto kulingana na
mfumo wa maisha yao, sasa,Ninataka kufahamu toka kwa "WAJUZI" wa mambo ya ubongo unavyofanya kazi kama kuna uwezekano wa viashiria vinavyoonyesha na kupima kama ubongo wa mtu fulani umefikiri sana kuliko mwingine, yani kama kuna kipimo kuonyesha hii Kichwa(wengine huita Mbongo/ Ndonga) imetumika haswa.

Sababu ya swali hili imechochewa na kuona kuna watu wanasoma sana, wengine kiasi, kuna watu wanapanga mipango mingi hawatoki, lakini mwingine mpango mmoja tu freshi, mwingine ana demu mmoja, mwingine anao hata sita, mtu ana mabiashara mengi, mwingine ana kagenge tu. Sasa hao wote wanafikiri kulingana na majukumu/mfumo wa maisha yao, sasa,

Je utajuaje kama hii KICHWA imefikiri
kwa kiwango kikubwa(kingi) kuliko nyingine.

Wasalaam.
 
Hii issue iko complicated sana... Inshort watu tuna uwezo tofauti wa kufikiri ndio maana kunatokea utofauti
 
Integemea na kitu mnachofikiria, mtu kichwa kimoja kinaweza fikiria deep kwenye swala flani na kingine kikawa deep zaidi kwenye swala jingine.

Labda ungetupa mfano wa kitu hivyo vichwa vinawaza kwa mda flani?
 
  • Thanks
Reactions: 247
Integemea na kitu mnachofikiria, mtu kichwa kimoja kinaweza fikiria deep kwenye swala flani na kingine kikawa deep zaidi kwenye swala jingine.

Labda ungetupa mfano wa kitu hivyo vichwa vinawaza kwa mda flani?
Lets say watu wa5 na wote wana miaka 60.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom