NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 234
Wana MMU,
Naomba tuwekane sawa katika hili jambo. Jaribu-ku-imagine kuwa wewe ndio mhusika (ukiwa Ke chukuwa nafasi ya mwanamke, Ukiwa me chukua nafasi ya mwanaume).
Upo na Mkeo/mumeo, mungu amewabariki na mmepata watoto wawili. Mtoto wa kwanza ni wa kike na amefanana sana na baba, na mtoto wa pili wa kiume mnabaini kuwa hajafanana na mama wala baba yake achilia mbali babu,shangazi mjomba n.k
Mume anastuka sana, lakini anaamua kupotezea kwa kuwa mtoto bado mdogo. Baada ya miezi kadhaa sura mtoto inazidi kujionyesha na hatimaye baba-unagundua kuwa amefanana na mtu fulani ambaye mkeo wanafahamiana kwa kuwa ni kabila moja na wametoka sehemu moja.
Kwa kuwa roho inauma na unahisi kuna mchezo umefanyika, unamshauri mkeo muende mpime DNA ya mtoto ili kuondoa hofu iliopo.
Majibu ya mkeo/yaani wewe dada unayesoma uzi huu kwa mume wako:
1. Naona umeamua kunitukana, nashukuru sana.
2.Nakubali kwenda kupima DNA lakini nikiwa kwangu na baba watoto wangu.
3.Umeshafanikiwa ndio maana unanimbia hayo mambo ya kupima DNA, Mimi naenda kuanza maisha yangu; NAONDOKA!
NB: Hivi kuna ugumu gani kwenda kupima DNA wana MMU? Kupima DNA si ni sawa tu na kupima Malaria au HIV-Test?
AU kuna ajenda iliyopo nyuma ya pazia kuhusu huyu mke?
TOA MAWAZO YAKO KUHUSIANA NA HII SINTOFAFAHAMU.
Asanteni, poleni kwa maelezo marefu.