HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 109
Ipo siku kitaeleweka tu bongo yetu hii!Wachangiaji wote wa studio na wale wa simu wanaonyesha kutoridhirishwa na performance ya bunge. Na kikwazo kikubwa cha mafanikio kimetajwa kuwa ni Spika wa Bunge mwenyewe kutoonyesha uongozi bora katika kuendeshe mijadala haswa pale hoja zinapotoka wa wabunge wa CHADEMA. Baadhi ya wachangiaji wamesema wazi kwamba kikao hiki cha kwanza cha bunge kwa watu walikuja na nia ya kupunguza nguvu za CHADEMA. Na wamesema wananchi wameliona hilo na kwa hiyo si jambo jema wa maslahi ya Taifa.
Simwelewi kabisa huyu bana. Mi nadhani kuwa Dr bila critical thinking ni useless. Huyu jamaa anaiabisha hata familia yake. Bana sio analytical kabisa wakuu. What a pity.
Kwani Dada Regia Mtei aliposema kuwa kuna watu wanaequalize PhD na degree alikosea? Ndo sample ya mitambo kama hii aliyokuwa anatolea reference :spider::A S 13:
Mbimbinho ..umeshakunywa viroba nini..?
Duh, samahani mkuu, bado network haijaanza kusoma vizuri since Gong's explosion. Gong's explosion ni zaidi ya viroba 100 mkuu :spider::spider:
Duh, samahani mkuu, bado network haijaanza kusoma vizuri since Gong's explosion. Gong's explosion ni zaidi ya viroba 100 mkuu :spider::spider:
Mhadhiri wa UDSM ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa REDET amemuunga mkono spika makinda kuhusu hatua yake ya kuizima hoja ya TUNDU LISSU aliyetaka bunge litengue kanuni mojawapo ya bunge ili wabunge wajadili suala la dharura la milipuko ya mabomu gongo la mboto. Dr. Bana amesema haoni tatizo makinda kuzima hoja hiyo kwa sababu wabunge hawakua na pa kuanzia na wasingeweza kujadili kabla ya utafiti kufanyika ili kupata undani wa tukio hilo. Bana anasema anadhani ni vema wabunge wakajadili suala hilo baada ya kupata taarifa za kutosha na za undani zaidi kuhusu tukio hilo la milipuko ya mabomu gongo la mboto.. Source: itv-kipima joto