Kipima upepo Igunga 2011 uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima upepo Igunga 2011 uchaguzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOHN MADIBA, Sep 6, 2011.

 1. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  SWALI LA LEO LA KIPIMA UPEPO LINAULIZA HIVI:-
  Unakipa nafasi chama kipi cha siasa kuibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 mwezi ujao?
  A) CCM!
  B) CHADEMA!
  C) CUF!
  Piga kura kwa kuandika herufi ya jibu unalodhani ni sahihi sehemu ya kuandika comment! Kumbuka unaruhusiwa kupiga kura moja tu
   
 2. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  BHakuna kama B itashinda kwakishindoo
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wapelekee watu wa Igunga hili swali wakujibu, sisi si wapiga kura wa jimbo hilo.
   
 4. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  peleka igunga ndio watakupa jibu.
   
 5. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  b chadema chadema chadema itashimda kwa 75%
   
 6. u

  ureni JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Sasa wewe sijui unataka nin manake mshindi wa kwanza mpaka wa tatu umeshawapanga hapo tayari.
   
 7. Baba Ziro

  Baba Ziro Senior Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mi nasema jibu sahihi lipo mikononi mwa wana Igunga. Tusubiri tuone ni kipi watatuchagulia.
   
 8. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  B ndio watashinda
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Chadema
   
 10. A

  Abiel Kyamanywa Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  B wapo juu sana
   
Loading...