Kipima upepo Igunga 2011 uchaguzi

Kipima upepo Igunga 2011 uchaguzi

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2011
Posts
251
Reaction score
155
SWALI LA LEO LA KIPIMA UPEPO LINAULIZA HIVI:-
Unakipa nafasi chama kipi cha siasa kuibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 mwezi ujao?
A) CCM!
B) CHADEMA!
C) CUF!
Piga kura kwa kuandika herufi ya jibu unalodhani ni sahihi sehemu ya kuandika comment! Kumbuka unaruhusiwa kupiga kura moja tu

Wapelekee watu wa Igunga hili swali wakujibu, sisi si wapiga kura wa jimbo hilo.

b chadema chadema chadema itashimda kwa 75%

SWALI LA LEO LA KIPIMA UPEPO LINAULIZA HIVI:-

Unakipa nafasi chama kipi cha siasa kuibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 mwezi ujao?

A) CCM!

B) CHADEMA!

C) CUF!

Piga kura kwa kuandika herufi ya jibu unalodhani ni sahihi sehemu ya kuandika comment! Kumbuka unaruhusiwa kupiga kura moja tu

Sasa wewe sijui unataka nin manake mshindi wa kwanza mpaka wa tatu umeshawapanga hapo tayari.

mi nasema jibu sahihi lipo mikononi mwa wana Igunga. Tusubiri tuone ni kipi watatuchagulia.

Back
Top Bottom