Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,622 8,397 Jun 11, 2012 #1 Mambo mengine yako karibu mno na ukweli. Wote tunajua kwa Kiswahili neno Mbunge, ni muwakilishi wa wananchi. Kwa Kihehe mtu akiambiwa ni mbunge, maana yake ni mtu aliyezibwa mdomo. Swali la kipimajoto, JE, WABUNGE WETU WENGINE NI WABUNGE?
Mambo mengine yako karibu mno na ukweli. Wote tunajua kwa Kiswahili neno Mbunge, ni muwakilishi wa wananchi. Kwa Kihehe mtu akiambiwa ni mbunge, maana yake ni mtu aliyezibwa mdomo. Swali la kipimajoto, JE, WABUNGE WETU WENGINE NI WABUNGE?
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,214 42,085 Jun 11, 2012 #2 Nita jibu kwa kutumia tafsiri ya kiswahili wabunge ni wawakilishi wa wananchi.
K Kakubilo Kasota Senior Member Mar 14, 2012 166 56 Jun 11, 2012 #5 Aaaah, kaka nimeishi Iringa kwa miaka kadha sikuwahi kusikia huu msamiati kwenye hii Lugha yao, hico ni kihehe cha Kalenga au Njombe?
Aaaah, kaka nimeishi Iringa kwa miaka kadha sikuwahi kusikia huu msamiati kwenye hii Lugha yao, hico ni kihehe cha Kalenga au Njombe?