Kipima joto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima joto

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by atrash, Sep 7, 2011.

 1. atrash

  atrash Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hivi lile tangazo la taulo za kinamama linalorushwa na TBC1 kabla ya taarifa ya habari ya saambili usiku je ? linafundisha maadili mema ktk jamii kulingana na mila na desturi zetu za kitanzania? mana unaweza ukawa umekaa na mama yako unasubiri Taarifa ya habari mara tangazo limeanza kuonyesha mapedi sijui wenzangu mnamaoni gani na hili
   
 2. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Vp kuhusu matangazo ya kondom?
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  aibu ya nni si tangazo tu...............huh
   
 4. atrash

  atrash Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hilo nalo neno tunatangaziwa ili tufanye sio tuache
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwenyewe linanikera mbaya pia kuna lingine la kondom ni kero tupu
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo kila likiwekwa hewani ndo unajifanya story imekoleo ili kuondoa concerntration..mamambo ya utandawazi hayo.!
   
 7. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  nimekukubali!!!!
   
 8. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  si unahamia itv tuu,
   
Loading...