Kipima joto ITV kinauliza: "Kukithiri kwa tatizo la Rushwa, Je kuanzishwa kwa Mahakama ya "TAKUKURU" kutasaidia?!"
Hivi Waandaaji wa hivi vipima joto ITV wanafikiri za kisomi? Wameshindwa kujua "TAKUKURU" ni Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa na kwamba Mahakama ya Takukuru ni "Mahakama ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa?!"..inamaani gani kwa swali hili la kipima joto. Hivi tunaweza kuwa na mahakama ya Taasisi!?