Kipima Joto ITV: Simbachaweni live

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,679
149,868
Wanaongelea swala la elimu bure.

MADA:KUANZA MFUMO WA ELIMU BURE YA MSINGI NA SEKONDARI,NINI UTARATIBU NA WAJIBU WA WADAU KATIKA KUFANIKISHA?

Kipindi ndio kimeanza.
 
Huyu jamaa wa CWT kinondoni ni kichwa. Serikali hii hujali wafungwa kuliko askali, waarifu kuliko polisi wagonjwa kuliko madaktar na manesi na wanafunzi kuliko walimu. Nguvu kubwa imeelekezwa kwa wanafunzi na sio walimu. Ngoja tuone.
 
Aska

askali=askari
 
Jamani huu mpango ushashindwa kabla ht haujaanza. Juzi niliona kwenye taarifa ya jabari ya ITV shule moja Arusha mjini imepokea milioni tatu. Nikajiuliza milioni tatu zinatosha? Nna dada zangu wawili wapo morogoro ni walimu, wananiambia shule zao zimepokea laki nne kila moja.shule moja inatakiwa imlipe mlinzi alfu 80, luku alfu 50 maji alfu 40 bado mambo km kumi hivi ambapo jumla yake laki tano jamani tuambizane hiyo molari ya mwalim kufundisha itakuwepo. Mgao wa laki nne kwa shule jamani tutafika?
 
Kwani hiyo hela ni ya mwalim au..
 
Back
Top Bottom