Bartazar
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,049
- 571
Jamaa kamtetea jk hata kwa nguvu kubwa sana, huyu anayejiita balozi wa amani! Nafikiri amepewa bahasha ili atetee tumbo lake. Jamaa m1 kapiga simu kumkumbusha list of shame ya dk Slaa, wezi wa epa kusamehewa baada ya kurudisha pesa... Ameuliza unategemea ktk mazingira hayo anameza kukemea rushwa?