Kipima joto cha leo!

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Kipima Joto Cha leo swali lilikuwa ni, 'Je! Kitendo cha wananchi kumpiga mawe mbunge wao mawe ni suluhisho la matatizo yao'? Asilimia sabini na sita (76%) ya waliohojiwa walisema 'NDIYO'!!!
 
Waliosema siyo ndo walimpigia kura kikwete, hivyo chama cha magamba kilipata 24% katika uchaguzi mkuu ulipita. Tafakari!
 
ni asilimia 71 mkuu... Na mimi nimeipenda sana,,, kweli wananchi wamejitambua,... Big up tanzanianz,,, mbunge akileta za kuletwa, piga,,, akafie mbali,,, sisi tunakufa njaa we unajichekesha
 
Waliosema siyo ndo walimpigia kura kikwete, hivyo chama cha magamba kilipata 24% katika uchaguzi mkuu ulipita. Tafakari!

hahahahahh,,, nimeipenda hii mkuu,,, na ina ukweli fulani ndani yake,,, duh, ivi ****** akiyaona haya pamaoja na wamagamba wenzake wanajisikiaje??
 
Baada ya utafiti huo wa Kima joto wabunge wavivu wajiandae tutawakonq'ota kweli kweli
 
ni asilimia 71 mkuu... Na mimi nimeipenda sana,,, kweli wananchi wamejitambua,... Big up tanzanianz,,, mbunge akileta za kuletwa, piga,,, akafie mbali,,, sisi tunakufa njaa we unajichekesha

hapana ni 76% lakini sioni kwa nini watu wameamua hivyo. swali linauliza ndiyo suluhisho la matatizo? Kweli Mkwele hana nchi watu wote tumekuwa machizi kwa jninsi wanavyotuendesha
 
Tulianza 'kuwapiga' kwenye kura, wakaiba. Tukawapiga kwenye hoja, wakasema nyie mmetumwa na wakatoliki, sasa tumeanza kuwapiga makonde ya kweli, sijui safari hii watasemaje
 
Kipima Joto Cha leo swali lilikuwa ni, 'Je! Kitendo cha wananchi kumpiga mawe mbunge wao mawe ni suluhisho la matatizo yao'? Asilimia sabini na sita (76%) ya waliohojiwa walisema 'NDIYO'!!!

Mkuu ndo nilikuwa naingia hom, kitu cha kwanza kukutana nacho kwenye tv kilikuwa hicho. Yaani nilicheka mpaka basi.
 
duh mie nimechoka sana hata sitii neno wacha niache wachangiajia waendelee
 
hii ni ishara njema, maana maneno hawasikii. ilianza mbeya kwa mkuu wa kaya, ikaenda muleba sasa iko tarime then wapi itafuata?
 
Na mie niliiona nikacheka sana! lakini baadae nikapata moyo sana kuwa hatiaye waTZ tumeamka sasa hatupendi kaisa ujinga!
 
Waliohojiwa walisemaje?

Wana-edit.
Fuatilia vizuri, kama kuna kundi kubwa limesema ndio kwenye kura za sms, basi ujue kwenye mahojiano wataonesha waliosema hapana & vice versa. Lakini ukweli hapa ni kuwa matokeo ya kura kwa njia ya sms ndiyo ya kweli kwa sababu yanajumuisha wananchi kutoka kila kona ya nchi na hawaonekani na mwandishi. Lakini pia haya yanahusisha kipato (Yanatumwa kwa njia ya sms ambayo inatozwa gharama za kutuma) kwa hiyo ni vigumu sana kuchakachua matokeo ya watu ambao wanaingizia kampuni pesa kwani ukifanya hivyo kesho hawatapiga tena
Lakini wale wanaohojiwa live; kwanza mara nyingi wanachukuliwa kutoka sehemu moja, yaweza kuwa ofisi moja ama chuo ama shule au hata kijiweni kwa hiyo mara nyingi wanakuwa na mawazo sawa. Pili hata kama watakuwa na mawazo tofauti bado mhariri ana uamuzi wa nani amuweke kwenye habari, hayako sahihi hat kidogo.
 
Back
Top Bottom