wazee mumegusa penyewe, naomba niiweke hivi, taarifa ya habari especially itv ni mbovu kuliko zote duniani, kwanza habari yenyewe ni moja tu kwa siku, lakini mambo yanakimbizwa utadhani mwandishi kabanwa na mkojo, sioni hata maana ya hizi news, basi ni summary yani, imagine habari za afrika mashariki hivi itv mnatuonyeshaga nini? Hakuna hata aibu? Kama vipi si museme tulipie kama tv za nchi zingine ili tuwe na usemi? Bora star tv kiasi wanajua kufafanua habari na kutranslate,pia tbc, but itv naina mashka na wandishi wao wa habari pia wahariri wao,kama kweli wana elimu stahili,poor you