trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 608
Ni aibu kioo Cha jamii kuandika utopolo Kama huu as if it's funny when its not 
Back those days I remember nilikua bado mdogo sana naishi na dada yangu nilikua nikiishuhudia dada yangu akipigwa Kama mbwa , bad thing there was a day alipigwa mpaka mimba ikatoka mbele ya macho yangu huku damu zikimbubujika
Mwanaume akafunya chochote Zaid ya kumfukuza akawa bado anamn'gang'ania akiamini it's love until then there was a day alimchoma na bisibisi ndio akaamka usingizini na kujua hakukua na love then she dicided to walk way na Mungu mwema akapata someone better
Nilivoona hii post ikanikumbuka enzi hizo niliposhuudia vile vipigo then nikajiuliza huyu mtu Kama public figures amewaza Nini mpaka kuandika haya sijapata jibu mpaka Sasa

All I know is mapenzi yoyote yanayohusiana na ngumi ndani yake , sio sahihi na sio salama no matter what yani KIPIGO kidogo tu ndo Nini Yani hicho KIPIGO kidogo!!!?

hii post ya huyu mkatwaji utumbo imeniharibia siku kiukweli
PS. Wewe mdau Nini maoni Yako juu ya huyu balozi wa kukata utumbo?
Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na mwanaume flani, alishanitamkia hajawahi na hatowahi kumpiga mwanamke... Ila kwangu bwana akagonga mwamba na hicho kiapo... Kiukweli nili enjoy sana...😂😂😂
Moral of the story: Kupigwa na baby wako kuna raha yake, haswa pale kwenye kubembelezana... Ila sasa sio tupigane kama wezi... Kidogo tu sio mbaya... Alafu iwe mara moja moja sio Daily... 😉😉😉
Sio lazima wote tufanane... Kuna wasio penda kupigwa ila as for me, kushtua shtua one tym one tym is very Healthy jamani....

Back those days I remember nilikua bado mdogo sana naishi na dada yangu nilikua nikiishuhudia dada yangu akipigwa Kama mbwa , bad thing there was a day alipigwa mpaka mimba ikatoka mbele ya macho yangu huku damu zikimbubujika
Mwanaume akafunya chochote Zaid ya kumfukuza akawa bado anamn'gang'ania akiamini it's love until then there was a day alimchoma na bisibisi ndio akaamka usingizini na kujua hakukua na love then she dicided to walk way na Mungu mwema akapata someone better
Nilivoona hii post ikanikumbuka enzi hizo niliposhuudia vile vipigo then nikajiuliza huyu mtu Kama public figures amewaza Nini mpaka kuandika haya sijapata jibu mpaka Sasa

All I know is mapenzi yoyote yanayohusiana na ngumi ndani yake , sio sahihi na sio salama no matter what yani KIPIGO kidogo tu ndo Nini Yani hicho KIPIGO kidogo!!!?

hii post ya huyu mkatwaji utumbo imeniharibia siku kiukweliPS. Wewe mdau Nini maoni Yako juu ya huyu balozi wa kukata utumbo?