Kipigo cha kushtukiza: Yote maisha, tusigombane, tuangalie tumejikwaa wapi, turekebishe na maisha yaendelee!

Bora tumepigwa mapema hope udhaifu umeonekana naamini huko kombe la shirikisho wachezaji dhaifu tulio nao sitegemeei kuwaona lakin viongozi wanao uza match kesho asubuh walimwe barua mapema
Hiki kipigo kinaenda kuiimarisha Simba zaidi, Simba ilikuwa dhaifu toka ligi inaanza. Udhaifu wao ulitokana na mbinu za kocha na upangaji wa wachezaji pamoja na usajili. Wawa analipwapesa nyingi wakati uwezo na Kasi yake imepungua, Kapombe kwa siku za karibuni uwezo imepungua, shabalala kwa muda mrefu anajulikana Hana Kasi na marking yake ni mbovu, Bocco naye ni Tia maji kufungwa inategemea ameamkaje, leo wametugharimu tunasingizia maduka lakini kile kipichotokea ndio kiwango Chao halisi.
Kosa kubwa la Simba ni wakati wa kukadili mikataba mpya wa shabalala Hawa wachezaji wakishapata mikataba mzuri kujituma kunapubgua.
 
Back
Top Bottom