Kipi utamwambia mpenzi wako?

Edmlh45

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
15
Reaction score
1
kumekua na tatizo katka wapenzi wetu ilihali wengi wao hushindwa kuwaambia ukweli wahusika wao!
[]>Kama wewe mpenzi wako ana 1)kinywa, 2)Miguu, 3)Kwapa, 4)mwili mzma, 5)hata sehemu zake za siri zinatoa harufu kali utamwambia ukweli au utakausha?
 
kama unampenda utamwambia ukweli ila kwa style ambayo haitamkela....
 
ntamwambia ukweli na asipobadilika tutaachana SIPENDI UCHAFU
 
nitamwambia ukweli na nitakuwa nae katika kutatua tatizo
 
namwambia aiseee asa nisipomwambia humo ndani si mtakuwa kama dampo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…