Kipi Sijasikia ya Prof. Jay Vs Mfalme ya Mwana FA

Kipi Sijasikia ya Prof. Jay Vs Mfalme ya Mwana FA

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
115
Habari zenu wanajamvi wenzangu. Leo nimeona nije na hili. Nataka kujua track ipi hapo juu inabamba sana kuanzia kiitikio,kughani na mashairi. Karibuni sana
 
Habari zenu wanajamvi wenzangu. Leo nimeona nije na hili. Nataka kujua track ipi hapo juu inabamba sana kuanzia kiitikio,kughani na mashairi. Karibuni sana

hao jamaa wote wamefulia kimziki si wale wa miaka ilee yaani utadhani ni underground artists mfano jay kwenye mashairi ya kipi sijasikia amendika vizuri sana lakin kwenye production hamna kitu japo amefanya na p funky na kumshirika diamond ambaye kwa sasa anafanya vizuri.

Mziki mbali na ujumbe unahitaji radha na ndo maana wavuta bangi kama ney wanaimba pumba lakin kwenye club na vilabuni ukosi kitu nakula ujana. Si hao tu wako wengi fani imewatupa ila hajajishtukia.
 
Mfalme uko juu zaidi ya kipi sijasikia... kuanzia mashairi na ujumbe na tune hasa chorus GNako ameiwezea sana kuliko mzee wa Kitorondo
 
Prof mashairi makali na nyimbo kali
Mfalme,,G Nako ktk kiitikio ndio shida lkn mashairi hakuna kitu kwa yule binam

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Naisikiliza mfalme zaidi kuliko ya Prof.Ingawa zote nh nyimbo kali.

Ila Ule wa FID Q ni mkali kuliko zote mbili.
 
Mziki mbali na ujumbe unahitaji radha na ndo maana wavuta bangi kama ney wanaimba pumba lakin kwenye club na vilabuni ukosi kitu nakula ujana. Si hao tu wako wengi fani imewatupa ila hajajishtukia. Here's a video to help you sing better:How To Perfect Your Singing Voice
 
hao jamaa wote wamefulia kimziki si wale wa miaka ilee yaani utadhani ni underground artists mfano jay kwenye mashairi ya kipi sijasikia amendika vizuri sana lakin kwenye production hamna kitu japo amefanya na p funky na kumshirika diamond ambaye kwa sasa anafanya vizuri.

Mziki mbali na ujumbe unahitaji radha na ndo maana wavuta bangi kama ney wanaimba pumba lakin kwenye club na vilabuni ukosi kitu nakula ujana. Si hao tu wako wengi fani imewatupa ila hajajishtukia.

umesahau kuandika mapungufu ya mfalme mi nimeona umeandika mapungufu ya kipi sijasikia
 
Kipi sijasikia ni vizuri ilinganishwe na Msiache kuongea, naona maudhui ya hizo nyimbo kwa kiasi kikubwa yanafanana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom