msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 299
- 409
Habari wakuu...
Nimekua nikisikia tetesi kadhaa kuhusiana na kitovu cha mtoto mchanga,. Hapa jf imeandikwa mara kadhaa bila hitimisho la kuridhisha...
Kunaukweli kuwa kikimdondokea mtoto anapata madhara kwenye mfumo wa uzazi?
Ni namna gani mnakihifadhi/kukitupa kitovu cha mtoto baada ya kukatika?...njia ipi ni sahihi?
Kuna madhara gani kukitupa tu chooni au kufukia kawaida kama viungo vingine?