Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 413
- 178
College of Informatics,Udom..they are the best so far..the college is affiliated with Microsoft,and the only college in tz with microsoft innovation centre.
Ni RUCO au Mzumbe. Nimefanya kazi na watu waliosoma huko na kuwakubali kabisa. Wengine wanatoka vyuo vyenye majina makubwa sana but wakiingia ofisini mimi niliojifunza computer mtaani nawazidi ujanja. Pengine RUCO na Mzumbe wanafanya vizuri kwa sababu wanawalimu wenye uwezo wa juu sana katika IT. Nilipopeleleza siri ya mafanikio yao niligundua kuwa huko kuna madokta wa ICT. Go there my dear

RUCO hapana kwa kweli

Institute of educational and management technology ya open University of Tanzania ni hatari Sana uliza wadau wengi waliosoma pale wameajiriwa na chuo pamoja na mtaani
Ni RUCO au Mzumbe. Nimefanya kazi na watu waliosoma huko na kuwakubali kabisa. Wengine wanatoka vyuo vyenye majina makubwa sana but wakiingia ofisini mimi niliojifunza computer mtaani nawazidi ujanja. Pengine RUCO na Mzumbe wanafanya vizuri kwa sababu wanawalimu wenye uwezo wa juu sana katika IT. Nilipopeleleza siri ya mafanikio yao niligundua kuwa huko kuna madokta wa ICT. Go there my dear
mm nazani chuo kizuri sana ni halmashauri ya kichwa chakoSuala la Kwenye kazi hapo ni tofauti sababu shuleni kuna watu wako kwa ajili ya kufaulu (Kupata maksi za juu) na kuna wengine wapo kwa ajili ya kujifunza jinsi ya ku apply ile knowledge kwenye real world.
Ubora ni juhudi zako, kama unaona chuo kinakufaa kwa kuwa kina waalimu wazuri na vitendea kazi vya kutosha mi naona sawa tu. Lakini Jina la Chuo lisiwe kigezo
IT iko open sana na wala usitegemee chuo vyuo vyote vinalingana tu ila kinachotakiwa kwa uipende na pia uwe na malengo. nayo na kusoma kwa sana na kufanya practical za wingi ila google itakusaidia sana kupata maujanjaHabari za leo wanajamvi,
Naomba msaada wenu katika hili. nahitaji kusoma IT katika ngazi ya advance diploma, nimekuwa nikijiuliza ni chuo gani kitanifaa kwa kozi hiyo ambapo kama nitahitimu nitakuwa marketable katika soko la ajira kutokana na elimu inayotolewa hapo.
Ningependa nianzie ngazi ya certificate kwa sababu sina ujuzi wowote wa IT. nimekuwa navutiwa na chuo kiitwacho Unique Academy cha wahindi pale kisutu je hiki pia vipi? naombeni maoni yenu nataka nibadili fani japo age ndo hvo tena.