Transcript ndo muhimu cause ni ngumu kufoji kupata transcript but vyeti watu wanafoji.
Vyote havina umuhimu wowote muhimu kuhifadhi modules ulizosoma kichwan mwako.
Ukisoma masters na kuendelea wanataka kuona transcript zaidi....Vyote havina umuhimu wowote muhimu kuhifadhi modules ulizosoma kichwan mwako.
Vyote havina umuhimu wowote muhimu kuhifadhi modules ulizosoma kichwan mwako.
Umenena ya maana sana
Ukisoma masters na kuendelea wanataka kuona transcript zaidi....
Kuhifadhi modules!!!!????? ili iweje..?
na wewe unasapoti pumba??