Kipi kitangulie? (Sehemu ya 1)

Kipi kitangulie? (Sehemu ya 1)

Nilipokua natoka chuo nilijiambia sioi mpaka niajiliwe. Nilipoona masuala ya ajira hayaeleweki nilioa, nilikua miaka mitano bila ajira, ningesubiri ajira ningeoa uzeeni na watoto wangeniita Babu. Angalia umri wako, Hali ya uchumi Kama upo vema oa hatutaki kusumbua wazazi wakuchangie unga. Kama haupo vizuri subiri ajira mama anaupiga mwingi atakukumbuka sio muda
 
Kati ya Kazi (Ajira) na Ndoa... Kipi kitangulie na kwanini?
Unamaanisha kuanza kutafuta ajira ama kutafuta Mchumba wa kuoa?

Au ulimaanisha kwenda kuanza kazi ambayo tayari umepata na Kumwoa mchumba wako ambaye tayari unaye?

Maana kuna scenario mbili tofauti hapa.
 
Bora kuoa kwanza ajira ifate, isipokuw kwa mwanaume kupata mwanamke wakuoa wakati hana kazi nacho nikipengele, wengi wanataka mwanaume mwenye ajira
 
Better Kazi.
But chochote kinaweza tangulia kulingana na luck and risk
 
Back
Top Bottom