Kipi kinauma sana moyoni?

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
161
Reaction score
298
Kipi kinauma sana MOYONI:
1.Kudharauliwa.
2.Kumpenda mtu asiyekupenda
3.Kuwa mpweke.
4.Kutofurahiwa na watu.
5.Kufeli mitihani.
6.Kumpoteza mtu muhimu.
7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine.
8.Kumsubiria mtu fulani bila matumaini.
9.Kumpenda mtu lakini huwezi kumwambia.
10.Kushindwa na maisha

Foward Kwa Wengne Uone Kinacho Watesa Wengi Ni Kipi. Ila Nijibu Mimi Kwanza!
........
 
Eti nasikia inauma sana πŸ˜†πŸ˜‚,. Wakati Niko mdogo shuleni nilimpiga mtoto wa mwalimu na Mpira kwenye hizo nanilii aisee alilia hadi kamasi,. Nilichapwa na baba ake🀣🀣
Maumivu yake hayaelezeki unaweza kutamani uyakate yatoke kabisa πŸ˜‚

Ulikuwa unatafuta nini huko kwenye makhaghari πŸ˜‚
 
Bahati mbaya tu nilirusha mpira yeye akapita ukamvagaa huko chini wee alipiga ukonga huo hadi kila mtu alitulia tuliii πŸ˜’πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ˜‚ usirudie maana ni hatari kwa afya ya uzazi wa kiume
 
Maumivu makali ni kukuposa pesa, aisee acha tuu, hayo yote utayapitia yakiwa combined pale ukiwa hauna pesa,
 
5 na 10 ikisababishwa na mtu uliyemuamini sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…