Mimi ni mtafiti mzuri wa ecolojia na biolojia ya viumbe hai yan living organisms. Between animals and plants balances the nature with others environmentals factors e.g abiotic factors such as soil lithospheric, hydro water, air atmos.
CONCLUSIONS NI KWAMBA plants ambao ni mimea ipo mingi kuliko wanyama sababu inaeza kuwa mimea inawapatia wanyama na binadamu wote chakula kwa njia yake ya photosynthesis. Mimea inajitengenezea chakula kupitia JUA, The natural satelite.
Bila mimea maji water hayawezi patikana.
NADHANI NIMEELEWEKA MKUU.
Science ina proof no siasa.