Kipi kiliwavutia Waganda kwenye kampeni za uchaguzi Tanzania 2020?

Noel wa ruben

JF-Expert Member
Oct 11, 2020
364
509
Wasalamu,

Bila kupoteza muda nimekua nikifuatilia kwa ukaribu kampeni za uchaguzi zinzoendelea uganda ninayo yaona hayana tofauti kabsa na kampeni za uchaguzi zilizofanyika Tanzania. Kampeni anazopiga Bobi Wine hazina tofauti na zilizofanyika huku kwetu, nilichoona Bobi Wine amekopi kila kitu kutoka Chadema.

Museveni naye ni yaleyale amenunua midege na kuanzisha miradi mikubwa, kila anakopita lazma aongeleee midege hiyo. Museveni nae ameiga kila kitu kutoka kwa JPM. Wadau minajiuliza kumbe tunayofanya huku Tanzania hatuyapi uzito kiasi hicho kumbe wenzetu wanaona yanamaana nafaida kubwa kwao.


Screenshot_20201224-223338.jpg
Screenshot_20201224-223259.jpg
Screenshot_20201224-223616.jpg
Screenshot_20201224-222852.jpg
 
Back
Top Bottom