Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Vya ELVIS MSIBA nimekisoma na ninavyo KIKOSI CHA KISASI,NJAMA,KIKOMO,(HOFU-ila hiki nafikiri walidukua tu wahuni wakajifanya ni cha msiba,wakakiingiza mitaani,lakini utunzi wa Msiba. Natafuta HUJUMA na KUFA NA KUPONA. sana KIFA NA KUPONA. ELVIS MSIBA ndio the best kwangu kwa hizi riwaya za kiupelelezi
mkuu vitafuteHapo nimekisoma cha Kikosi cha Kisasi, Ni noma sana ila natamani nivisome na hivyo vingine
MUSIBA ni hatari sanaVya ELVIS MSIBA nimekisoma na ninavyo KIKOSI CHA KISASI,NJAMA,KIKOMO,(HOFU-ila hiki nafikiri walidukua tu wahuni wakajifanya ni cha msiba,wakakiingiza mitaani,lakini utunzi wa Msiba. Natafuta HUJUMA na KUFA NA KUPONA. sana KIFA NA KUPONA. ELVIS MSIBA ndio the best kwangu kwa hizi riwaya za kiupelelezi
Ngoja nivitafute mkuuDah! Mkuu huna cha hekaya za abunuas
Bonge moja la mtunzi,kama hichoMUSIBA ni hatari sana
Sio musiba huyu chizi. Yupo msiba mwenyewe bonge moja la mtu. Akili kubwa,sio huyu chizi. Alikuwa anaitwa ELVIS A MSIBA. Bahati mbaya ni marehemu now. Kilikuwa kichwa hasaKumbe musiba anatunga vitabu sasa mbona anajiwehusha, eti melo anataka kumuua
Kumbe musiba anatunga vitabu sasa mbona anajiwehusha, eti melo anataka kumuua