Kipi bora?

Yaani wewe wasagaji na mashoga wanakufurtahisha sana kiasi cha kuwaona ni watu bora?
 
Kwanini utamani watoto wa kishetani wakati mungu anataka akupe mtoto utayejivunia ktk maisha yako? Mshirikishe Mungu kupata mke mwema na mtoto mwema pia.
 
Hakuna bora hapo, labda kama wewe na mkeo mna tabia kama hizo.
 
Sasa huo ubora kwa either of the two we umeuna vipi kwa sio ushetani unakunyemelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…