M Mwanampuna Senior Member Joined Jul 21, 2016 Posts 131 Reaction score 80 Jul 30, 2016 #1 Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,351 Jul 30, 2016 #2 Yote mabaya lakini kucheat kimya kimya unaweza kujifanya huyajui la kuolewa mke wa pili mmmh.
jbr Member Joined Jul 22, 2016 Posts 10 Reaction score 3 Jul 30, 2016 #3 Mwanampuna said: Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya? Click to expand... Naruhucwa kuchangia Mada but am not a girl,
Mwanampuna said: Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya? Click to expand... Naruhucwa kuchangia Mada but am not a girl,
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,273 Jul 30, 2016 #4 Mwanampuna said: Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya? Click to expand... Watakuja hao uliowaita, ila usikimbie. Uzinifu ni dhambi
Mwanampuna said: Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya? Click to expand... Watakuja hao uliowaita, ila usikimbie. Uzinifu ni dhambi
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,273 Jul 30, 2016 #5 Sky Eclat said: Yote mabaya lakini kucheat kimya kimya unaweza kujifanya huyajui la kuolewa mke wa pili mmmh. Click to expand... Vizuri kula na wenzako mamie
Sky Eclat said: Yote mabaya lakini kucheat kimya kimya unaweza kujifanya huyajui la kuolewa mke wa pili mmmh. Click to expand... Vizuri kula na wenzako mamie
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,351 Jul 30, 2016 #6 hamisj said: Vizuri kula na wenzako mamie Click to expand... Ni kweli hata HIV tutaishare tu.
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Jul 30, 2016 #7 Vyote vibaya
M Mwanampuna Senior Member Joined Jul 21, 2016 Posts 131 Reaction score 80 Jul 30, 2016 Thread starter #8 jbr said: Naruhucwa kuchangia Mada but am not a girl, Click to expand... Unaruhusiwa
lady mmarangu JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 306 Reaction score 166 Jul 30, 2016 #9 Kwa hali ya afya ya sasa maradhi ni mengi,hakuna zuri hapo mana tutakufa wengi
M Mwanampuna Senior Member Joined Jul 21, 2016 Posts 131 Reaction score 80 Jul 30, 2016 Thread starter #10 chiqutitta said: Vyote vibaya Click to expand... Asilimia 99 ya wanaume wana mwanamke zaidi ya mmoja so kama we ni mwanamke inabidi uchague kimoja kati ya hivyo
chiqutitta said: Vyote vibaya Click to expand... Asilimia 99 ya wanaume wana mwanamke zaidi ya mmoja so kama we ni mwanamke inabidi uchague kimoja kati ya hivyo
M Mwanampuna Senior Member Joined Jul 21, 2016 Posts 131 Reaction score 80 Jul 30, 2016 Thread starter #11 Sky Eclat said: Yote mabaya lakini kucheat kimya kimya unaweza kujifanya huyajui la kuolewa mke wa pili mmmh. Click to expand... Na ikitokea unamjua anayecheat naye je?
Sky Eclat said: Yote mabaya lakini kucheat kimya kimya unaweza kujifanya huyajui la kuolewa mke wa pili mmmh. Click to expand... Na ikitokea unamjua anayecheat naye je?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,351 Jul 30, 2016 #12 Mwanampuna said: Na ikitokea unamjua anayecheat naye je? Click to expand... Ah sasa kama anafanya mpaka unajua basi heshima hakuna.
Mwanampuna said: Na ikitokea unamjua anayecheat naye je? Click to expand... Ah sasa kama anafanya mpaka unajua basi heshima hakuna.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jul 30, 2016 #13 Bora aoe hata wake wanne nijue najipangaje na mashambulizi.
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,246 Reaction score 14,766 Jul 30, 2016 #14 Mwanampuna said: Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya? Click to expand... Mkuu kwani ungekuwa demu ungechagua kipi kati ya hivyo???...majibu yetu yatachepuka kutoka kwenye jibu lako!!!
Mwanampuna said: Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya? Click to expand... Mkuu kwani ungekuwa demu ungechagua kipi kati ya hivyo???...majibu yetu yatachepuka kutoka kwenye jibu lako!!!
M Mwanampuna Senior Member Joined Jul 21, 2016 Posts 131 Reaction score 80 Jul 31, 2016 Thread starter #15 CHAMITON said: Mkuu kwani ungekuwa demu ungechagua kipi kati ya hivyo???...majibu yetu yatachepuka kutoka kwenye jibu lako!!! Click to expand... Bora aoe nahisi itakua akioa majukumu yatambana so itakua ngumu kuchepuka kwa mwingine
CHAMITON said: Mkuu kwani ungekuwa demu ungechagua kipi kati ya hivyo???...majibu yetu yatachepuka kutoka kwenye jibu lako!!! Click to expand... Bora aoe nahisi itakua akioa majukumu yatambana so itakua ngumu kuchepuka kwa mwingine
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,927 Reaction score 5,769 Jul 31, 2016 #16 Hicho hapo ni bora zaidi