ukimwambia mzuri alafu ukaishia hapo hapo hatakuamini, ila ukimwambia mzuri alafu ukamuomba namba ya simu au ukaomba kutoka nae out, hatakama ulikuwa unamdanganya atakuamini.

Wewe mwambie tu leo umependeza inatosha sana. Hii ni kama amependeza kweli. Haya mambo ya uzuri na ubaya yana subjectivity kubwa sana. Mbaya kwako ni mzuri sana kwa ampendaye and vice versa.