Kipi bora? Na utamuwazia nini?

Kipi bora? Na utamuwazia nini?

Mapenzi ya kibongo bana eti mtu asipopokea au kutopatikana we unawaza yuko nyumba ndogo anakusaliti yaani unajicomplicate mwenyewe! Wakati kwa mzungu yeye akimpigia simu mpenzi wake akaacha kupokea On the sport anamtumia na mesg ya kumpa pole ni dhahili kwamba yuko bize hataki usumbufu. Ivi kweli mtu kakuaga anaenda kazini alafu asipokee simu we useme unaibiwa

kwa maana hyo akili yako inamaanisha atakaua nyumba ndogo!!!!!
 
Wewe ya kwako imeishia wapi?

Acha kulia lia hapa, tumechoka kushauri watu msiojielewa...

Huyo unayehusiana naye wewe ndio unayemuelewa halafu unakuja kulia lia huku jamvini...

Eboh!! sisi ndio tuliowatongozesha? mbona wakati mawasiliano yenu yalipokuwa imara hukuja hapa kumsifia?

Tumia akili kufikiria, au unadhani sisi unaotuomba kukushauri tunatumia macho kufikiri???

Kosa lake ni lipi? kwani hapa siu ndo sehemu ya kupata ushauri wa maswa ya mahusiano. Kumbuka, siyo kila thread unatakiwa kuchangia. Acha wazoefu na wenye nia nzuri na MMU wajw wamshauri kwa raha zako. Poleka huko stress zako!
 
ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake naona wengne akili za kipilipili wengne akili za singa wengne vipara tu bas taabu tupu!
 
Kosa lake ni lipi? kwani hapa siu ndo sehemu ya kupata ushauri wa maswa ya mahusiano. Kumbuka, siyo kila thread unatakiwa kuchangia. Acha wazoefu na wenye nia nzuri na MMU wajw wamshauri kwa raha zako. Poleka huko stress zako!

sema wewe kiazi.....nikisema mim muhogo.........!!!
 
Mzukie kwake

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kutokana na maswali yako labda jiulize we mwenyewe we unaona kipi bora? Pia unamuwazia nini? Mana huyo ni mpenzio unamjua zaidi yetu, halafu baada ya kupata majibu tafakari chukua hatua.
 
Bado tu machozi yanakutoka bi mkubwa...teh teh!!

Iam a girl of peace; but when I speak they are for war. mshindweeeeeeee. poor watu8 n the alike!
 
Kutokana na maswali yako labda jiulize we mwenyewe we unaona kipi bora? Pia unamuwazia nini? Mana huyo ni mpenzio unamjua zaidi yetu, halafu baada ya kupata majibu tafakari chukua hatua.

may my cry come b4 u oo Lord; give me understanding according 2 ur words!! kama huna cha kushauri better kp quiet wajamen sina bifu na mtu humu eeergh!!!
 
hapa unaweza shauri ukaambulia mitusi, ngoja nijipitie kimya kimya
 
Jamani naomba mfike mahali muwe na akili za kiutu uzima, ivi kama mada imekukera au hujui uchangie kitu gani nilazima uponde au uongee upumbavu? Sio lazima kutoa ushauli kama vp pigeni kimya na muwaache wenye ushauli wachangie na sio kuropoka na kuharibiana siku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom