Kipi bora? Na utamuwazia nini?

Kipi bora? Na utamuwazia nini?

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
72,009
Reaction score
177,290
Bonjour friends! Natumai mu wazima wa roho mwili pamoja na akili.

Bibie sina mengi zaidi ya kuwauliza ju ya hii kituz iitwayo mahusiano/mapenzi/urafiki wa karibu zaidi n.k.

Wajameni kipi bora endapo mpenzi wako hapatikani online siku nzima au anapatikana lakini ukipiga hapokei simu? Na kwa akili ya kibinadamu utawaza nini juu ya huko kutopatikana/ kutopokea simu?

4 days now no communication between us. nashindwa kuelewa kabisaaa. Eyesu nisaidie!
 
Hamja korofishana kwa lolote? Na je una uhakika anaendelea na shughuli zake(ni mzima)? isije ikawa yu mahututi mahali.
 
hatujakorofishana wallahi sema yey kuanzia jana mida ya sa 4 asubuhi hakupatikana hewani na hajaniarif chochote! nilimtafuta kila saa siku nzima majib ilikua ni the # ur dialling is not richabo! uck nikalala zang mapemaa bwana akanipgia cm saa 5 uck mi namiusingiz yang cjaskia badae nliposhtuka nkakuta micd kol ake ndo kumpigia akakacrika dah kaz ipo!!
 
sikulaumu ndio akili yako ya kufkiria imeishia hapo!

Wewe ya kwako imeishia wapi?

Acha kulia lia hapa, tumechoka kushauri watu msiojielewa...

Huyo unayehusiana naye wewe ndio unayemuelewa halafu unakuja kulia lia huku jamvini...

Eboh!! sisi ndio tuliowatongozesha? mbona wakati mawasiliano yenu yalipokuwa imara hukuja hapa kumsifia?

Tumia akili kufikiria, au unadhani sisi unaotuomba kukushauri tunatumia macho kufikiri???
 
^^
Utamuwazia mema, maana simanzi ya moyo ni zao la mawazo mabaya.
Take care for your health
^^
 
Yale yale, sasa kama hamjakorofisha unatafuta nini hapa???

Inaonesha hujielewi wewe au umepaniki...tuliza kipwinto hicho.

hatujakorofishana wallahi sema yey kuanzia jana mida ya sa 4 asubuhi hakupatikana hewani na hajaniarif chochote! nilimtafuta kila saa siku nzima majib ilikua ni the # ur dialling is not richabo! uck nikalala zang mapemaa bwana akanipgia cm saa 5 uck mi namiusingiz yang cjaskia badae nliposhtuka nkakuta micd kol ake ndo kumpigia akakacrika dah kaz ipo!!
 
Hayatuhusu haya....

mkuu umeamka na hang over nn! Kama hayakuhusu si upite kimya?! Uwezo wa kufikir tumetofautiana unachokielewa ww mwenzio haelewi. Sio kauli nzur hyo hebu futa kauli
 
Wala sijaamka na hangover mkuu nipo vizuri kabisa..

Unataka nifute kauli ipi?

mkuu umeamka na hang over nn! Kama hayakuhusu si upite kimya?! Uwezo wa kufikir tumetofautiana unachokielewa ww mwenzio haelewi. Sio kauli nzur hyo hebu futa kauli
 
Wewe ya kwako imeishia wapi?

Acha kulia lia hapa, tumechoka kushauri watu msiojielewa...

Huyo unayehusiana naye wewe ndio unayemuelewa halafu unakuja kulia lia huku jamvini...

Eboh!! sisi ndio tuliowatongozesha? mbona wakati mawasiliano yenu yalipokuwa imara hukuja hapa kumsifia?

Tumia akili kufikiria, au unadhani sisi unaotuomba kukushauri tunatumia macho kufikiri???

umeshinda! ila kama hujiskii kukoment better zip ur mouth usiropoke ropoke! poor watu8
 
kazi kweli kweli, assume yuko busy then maisha yanasonga
 
^^
Utamuwazia mema, maana simanzi ya moyo ni zao la mawazo mabaya.
Take care for your health
^^

kwakua sitaki kufa mapema kwa stress bas yanipasa niwaze mema kwakweli maisha yanaenda kas mnooo!
 
hatujakorofishana wallahi sema yey kuanzia jana mida ya sa 4 asubuhi hakupatikana hewani na hajaniarif chochote! nilimtafuta kila saa siku nzima majib ilikua ni the # ur dialling is not richabo! uck nikalala zang mapemaa bwana akanipgia cm saa 5 uck mi namiusingiz yang cjaskia badae nliposhtuka nkakuta micd kol ake ndo kumpigia akakacrika dah kaz ipo!!

utoto huo akikua ataacha
 
umeshinda! ila kama hujiskii kukoment better zip ur mouth usiropoke ropoke! poor watu8

Nimeshinda???

Eboh! kwani kulikuwa na mechi au mashindano yoyote!!!

We mwenzetu unaandika kwa mdomo nini, why zippin a mouth wakati kiandikacho ni mikono...wanchekesha.

Bado narudia tena acha kulia lia ushakuwa mkubwa wewe...

Hivi ina-make any sense kuwa chanzo cha thread hii ni vile tu mpenzi wako kukununia kwenye simu...

Nahisi JF MMU ingejaa kama kila mtu angekuwa anaweka visa vidogo vidogo kama hivi...

Hata sisi tunaokushauri tuna matatizo lukuki na mengine pengine ni makubwa maradufu zaidi ya hili, lakini tunapiga kimya maana yanatatulika offline...
 
"hayatuhusu" huwez jua mwenzio linamtatiza vp hilo suala

Mkuu huo ndio ukweli, suala la mahusiano yake linamuhusu yeye na mpenzi wake...

Huyu dada anachotafuta ni bega la kuegemea na hiyo si kazi yetu...

Mpenzi wake bado yupo na hawajaachana, kwa nini asimpe muda wayamalize...
 
babu eeeeeh! mbona umeniandama ivooo!! tafadhal funga domo lako kabla sijawaza cha kukufanya tafazal tafazal!! kaa chonjo kijana
 
Mkuu huo ndio ukweli, suala la mahusiano yake linamuhusu yeye na mpenzi wake...

Huyu dada anachotafuta ni bega la kuegemea na hiyo si kazi yetu...

Mpenzi wake bado yupo na hawajaachana, kwa nini asimpe muda wayamalize...

ni mtazamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom