mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Am already born![emoji23]Hiyo no 1 mwanaume wa hivyo labda azaliwe mwaka huu
Ebu ukoAm already born![emoji23]
Sent by Diaspora
Elewa ktk mapenzi hakuna kosa kubwa kama USALITI,,,,kama utaruhusu MKEO AJUWE wewe una WANAWAKE LUKUKI,,,basi ELEWA UNAKARIBISHA USALITI NYUMBANI,,,,kwani MKEO hatokuwa na sababu ya kuwakataa VIDUME WA NJE,,,sababu wewe HUMTHAMINI,,,siku zote DHAMBI YA USALITI inalipwa kwa USALITI...1. Kuwa mpole nanyenyekevu katika ndoa.
Uwe mnyenyekevu, huna michepuko, huna hawara, ukirudi nyumbani unampa simu mkeo aikague .
Wasap zote mnatumia kwenye simu moja....
Then unajisifu kwa wanaume wenzio kuwa huna mchepuko Wala mwanamke wa nje. Hii ni kwa ajili ya kumuogopa MKE/MPENZ WAKO uliyenaye ili kutunza ndoa
2. Uwe na michepuko lukuki.
Hii uwe unaamini ni kwasababu ya usalama wako pale utakaposalitiwa.. Lakini mkeo awe hajui kitu.
3. Uwe na michepuko wazi wazi na MKE wako awe anajua kuwa wewe ni kiwembe
LIPI BORA KATI YA HAYO.
NAHITAJI USHAURI
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau Kuchunwa + Magonjwa pia.hiyo namba mbili ni bora zaiid maana inaondoa stres kabisa%
Wapo wengi tu, huyu unamgongea mke wake na anajua na hafanyi kitu, Analia lia tu Kwa mkewe, "mke wangu usinifanyie hivyo jamani,mi nakupenda" .Hiyo no 1 mwanaume wa hivyo labda azaliwe mwaka huu
Wapo aisee. Mtu anajua kabsa Kama mkewe analiwa na kimyaaaaaWapo wengi tu, huyu unamgongea mke wake na anajua na hafanyi kitu, Analia lia tu Kwa mkewe, "mke wangu usinifanyie hivyo jamani,mi nakupenda" .
Sent using Jamii Forums mobile app