KIPI BORA KATI YA HIVI?

KIPI BORA KATI YA HIVI?

BAF

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
422
Reaction score
511
Naam,jamani tupeane mawazo mtu asome kwanza Kisha atafute ajira au afanye kazi kwanza kwa level ya elimu ndogo kisha akajiendeleze?
Najua Kuna watu watapata majibu yao Leo hapa.
 
Inategemea una umri gani, background ya familia unayotokea na majukumu uliyonayo. Hivyo hakuna jibu la jumla maana kila mmoja ana scenario yake.
 
ukipata fursa ya kufanya kazi ya kudumu hatakama una Elimu wewe unayoiita ndogo fanya kazi..utajiendeleza.

unaweza soma mpaka Phd hlf ajira zenyewe ndiyo hizi za kulenga kwa manati.

Lakini pia kila mtu afuate kile anachokiamini.
 
Mkuu PhD acha kumix mambo
 
Back
Top Bottom