sijui hata nkujibuje.
clone ya simu unaweza ita feki kijina (kuitwa samsung) lakini original kivifaa. wanachofanya hawa jamaa wanapunguza vifaa halafu wanauza kwa bei rahisi.
mfano galaxy s4 original ina processor 8 wao wanaeka 4, ina ram 2gb wao wanaeka 1gb, qualitya ya camera wanaipunguza na hata memory unakuta wanakupa 8gb tu wakati s4 original zipo hadi 64gb