Kwa nini umechanga topic mbili: ya kifo cha mama (RIP mama yetu), na hiyo ya mpenzi?
Pole na msiba ndugu yangu...
Siku tano kiafrika ni chache sana kwa kuomboleza kuondokewa na mpendwa wako....
Chukua mda zaidi kuji-organize na mipango ya kijamii katika family yako.....
Huo ndio ubinadamu na utu na anayekupenda atakupima zaidi kwa hivyo
Aaaah, nimekuelewa sasa. Pole sana. kabla ya kujibu wacha nikuulize tena: hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? maana jina laki halisemi chochote kuhusu jinsia, na huyo mpenzi wako hujasema jinsia yake...MWALI ! wangu swali lako ni la msingi, na jibu ni hivi : Baada ya kua nimepata msiba the only one who may provide me enthusiasim at this sorrow times is my lover.
Mama mdogo ameniacha kwenye majonzi na mpenzi kunikatia fuse uchungu mwingine, sinae wa kuniliwaza! Muarobaini juu ya Shubiri ! Mambo juu ya mambo! Nitaponea wapi ?
Aaaah, nimekuelewa sasa. Pole sana. kabla ya kujibu wacha nikuulize tena: hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? maana jina laki halisemi chochote kuhusu jinsia, na huyo mpenzi wako hujasema jinsia yake...
M W A N A U M E tena S H A B A B I then C H A M B E G U
Aaaah, nimekuelewa sasa. Pole sana. kabla ya kujibu wacha nikuulize tena: hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? maana jina laki halisemi chochote kuhusu jinsia, na huyo mpenzi wako hujasema jinsia yake...
Teh Sasa mbona kesi imeisha??? Mwanamke hatakiwi kuwa na kiburi cha hivyo...kumtafuta ni kujilazimisha kuingia kwenye maisha ya migogoro kila siku...huyo kimeo na si mke mtarajiwa...ni kero mtarajiwaM W A N A U M E tena S H A B A B I then C H A M B E G U