utakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa. Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?
Mjinga ni wewe uloshindwa kuelewa umuhimu na maana ya sensa. Kipengele cha dini ktk kitambulisho hakina maana yoyote kwetu wala wewe kwa sababu kitambulisho hakilengi kupeleka maendeleo kwa wananchi. Maadam nchi yetu haina dini msitake kutuaminisha kwamba hata watu wake hawana dini - tunazo na tuhesabiwe.Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa. Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?
Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa. Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?
na nyie mlishindwa nini kujitangazia mko wengi hadi muing'ang'anie serikali,mnapenda vya dezo sana nyieutakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.
ponda sio mpumbavu kiasi hicho eti kuwe na kipengele cha dini kweneye kitambulisho cha taifa! .. nadhani haya ni maoni ya na shati lako ulilovaa sasa hivi..
Mimi naamini watu wenye mawazo na fikra za kuona mbali na wakti wote kuondokana na ile tarbia ya kuhisi jambo bali wanataka reality kila wakti kama Ponda kama watapatikana arobaini tu basi wa Tanganyika mtavuka huo umasikini mlionao. Kumbukeni waTz sio masikini wa mali bali wengi wenu ni masikini wa Akili.
Nia ya Ponda ni kuweka kipengele cha DINI katika dodosp lenu ili.
1. Kujua idadi ya waumini wa kila dini iliyopo Tanzania.
2. Kujua idadi ya dini walizonazo wananchi wa Tz.
Kwani mambo hayo kila siku yanabandikwa kwenye vivutio vyenu vyote vya watalii na hata wawekezaji kuja nchini kwenu.
Labda mjiulize katika dodoso lenu kuna hata idadi ya mifugo na suala la ilmu ilhali kuna wanataka kujua wanaojua kusoma na kuandika kimombo na kiswahili. Je mambo kama haya yana msingi gani ukilinganisha na kujua idadiya dini na waumini wake?
Ndio maana wengi tunasema wanaompinga Ponda ni wale wenye akili za ku copy na ku peste. Boingolala
Kwa nnavyofahamu akili za ponda lazima atawashawishi tu waislamu kugomea vitambulisho
utakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.
ponda sio mpumbavu kiasi hicho eti kuwe na kipengele cha dini kweneye kitambulisho cha taifa! .. nadhani haya ni maoni ya na shati lako ulilovaa sasa hivi..
utakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.