Lawkeys
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 1,118
- 288
Hivi mazoezi ndio yanaleta mapinduzi ya viwanda. Kikwete ameshadadia bongo flavor, na kwasababu hiyo waimbaji wamepata tuzo za kimataifa.
Lakini nioneshe picha 1 ya engineer Hilonga http://www.bbc.com/news/world-africa-32973591 aliyegundua mtambo wa kuchuja maji akipata mualiko wa ikulu. Au nioneshe picha moja ya Kikwete akipata mlo wa pamoja na 10 bora ya wanafunzi wa kidato cha 4 na cha 6, HAKUNA. CCM imeiharibu nchi na kuharibu akili za watu wake. Watu hawajishughulishi na vitu vya maana yaani mambo ya uvumbuzi na sayansi, kila mtu anataka kutunga mistari ili apate nafasi ya kupiga selfie na Raisi. Tunatakiwa kufanya mabadiliko, lasivyo miaka kumi ijayo elimu yetu itakuwa ya hovyo, tutabakia kuimba bongo flavour tu..
CCM ni janga, nilazima iondoke. Tukichagua magufuli tujiandae kuwa makuli kwenye viwanda vya wageni, big muscles dumb brain. Hivi mabody builder ndio wanaleta mapinduzi ya viwanda???
Bern Carson ameanzisha Tuzo mahususi kwa watoto wanaofanya vizuri darasani wakati huohuo JK anawapa tuzo bongo movie na bongo flavour na kusahau mainjinia wavumbuzi wa kisayansi na janga lingine ni magufuli na ccm na tuzo ya pushapu. Chama kimechoka, makada wamechoka, tanzania imechoka. Ni wakati muafaka wa mabadiliko.
Chagua Lowassa chagua mabadiliko.
Tanzanian low-cost water filter wins innovation prize - BBC News
A Tanzanian chemical engineer wins a prestigious innovation prize for his water filter that could change the lives of millions of Africans.
bbc.com