Kipaumbele cha Chadema ni Lissu sio Taifa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?
 
Thubutu uenyekiti ajaribu apite mlango alioingilia chacha wangwe mpaka leo hii hajarudi!
 
Mim chama changu kinaitwa Tundu Lissu.
 
Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?
Kama ilivyo kipaumbele Cha CCM kuteka watu
 
Pilipili iko shambani inakuwasha kweli jikune tu
 
Ndugu zangu,

Nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, kwenye issue za kitaifa, wapinzani waungane na serikali, tutangulize mbele maslahi ya taifa.

Kwenye hili la uenyekiti, Lissu atapewa, Kama rais Magufuli amepewa uenyekiti wa CCM, na kuna vitu Lissu ni zaidi ya Magufuli, I don't see why Chadema wasimpe uenyekiti Lissu.

Hili likifanyika, japo rais Magufuli bado ndio atashinda kwa ushindi wa kishindo, lakini hautakuwa ni ushindi wa mteremko.

P
 
Haujapata uteuzi tu, Mara Acacia, Mara mtetezi wa chama chakavu, ona sasa mtatiro amekuacha na Acacia yako
 
Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?
Haki ya mungu Jf inapoteza ladha yake
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, kwenye issue za kitaifa, wapinzani waungane na serikali, tutangulize mbele maslahi ya taifa.

Kwenye hili la uenyekiti, Lissu atapewa, Kama rais Magufuli amepewa uenyekiti wa CCM, na kuna vitu Lissu ni zaidi ya Magufuli, I don't see why Chadema wasimpe uenyekiti Lissu.

Hili likifanyika, japo rais Magufuli bado ndio atashinda kwa ushindi wa kishindo, lakini hautakuwa ni ushindi wa mteremko.

P
Safi Mkuu
 
Mkuu hata pale bungeni wakati wa utungaji wa sheria za muhimu kwa nchi,please siyo sheria za kulinda madaraka ya magufuli na ccm, bungeni huwa kuna baki wabunge wawili tu,Lissu na Chenge,ni bahati mbaya nchi IPO chini ya kilaza ndo maana huwezi ona umuhimu wa hii brain kwa taifa letu
 
Wewe mwenye "akili" unaombaomba
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, kwenye issue za kitaifa, wapinzani waungane na serikali, tutangulize mbele maslahi ya taifa.

Kwenye hili la uenyekiti, Lissu atapewa, Kama rais Magufuli amepewa uenyekiti wa CCM, na kuna vitu Lissu ni zaidi ya Magufuli, I don't see why Chadema wasimpe uenyekiti Lissu.

Hili likifanyika, japo rais Magufuli bado ndio atashinda kwa ushindi wa kishindo, lakini hautakuwa ni ushindi wa mteremko.

P
Kweli kabisa p unashauri watu waungane na wauaji ,watekaji na wanaofunga watu kwenye viroba ?
 
Back
Top Bottom