Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Ukiwa na kipara Msumbiji inabidi uwe mwangalifu sana kwani waganga wa kienyeji wanatuma watu kwa malipo kuwasaka na kuwauwa kwa imani za kishirikina na utajiri wa fasta fasta kama Albino wanavyotishiwa uhai hapa nyumbani.