Kuna dogo hapa ana 27 years old alikua anajiona bado mtoto sasa ana kipara kinaota kwa kasi na haja_accomplish anything yani anapata stress balaa maana hata wakubwa zake tukiwa nae sehemu basi heshima zote anachukua yeye.
Ni swala la muda tu anaweza chukua maamuzi magumu maana kachanganyikiwa kabisa.