Nadhani hakuna dawa ya upara na kama ingekuwepo wale wadosi wenye vipara na mapesa wala tusingewaona navyo.Hapo cha msingi ni dongo tu mwenyewe nina upara siku hizi kila wiki ni kunyoa na kadri siku zinavyosidi kusonga nacho kinakuja kwa kasi ina maana huko mbele nitanyoa baada ya siku mbili