Kipanyaa mbona mchokozi

Akili ya darasani kweli haimsaidii mwananchi.....yaani Lipumba anaacha siasa ilipo--noga---hata maalim anaingia ikulu?
 
Ameshachuja ngoja awaachie wenyekuweza waivushe pantoni
 
hahhaha huyu kipanya atakua something else!!!
 
Maji naona ya napita kwa speed kubwa sijui kama watafanikiwa kutoboza salama na mi2mbwi yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…