Kipanya

Ayubu amechoka,jasho linamwagika tu anashindana na baobab.
 
Hadi hapo ametoa magome tu hajagusa shina. Hatari ni pale atakapokwenda kuripoti kwa babaake atakuja na buldoza.
 
sasa ayubu na udhaifu wake ule ataweza kuuangusha huo mninga?
 
upande wa pili yupo anaekata ila haonekani
 
Labda amejaribu upande mmoja, akaona ahamie upande wa pili.
Au mkataji wa upande wa pili kajiondokea zake.
mkuu yawezekana kuna mtu anae kata upande wa pili ila hataki ajulikane kutegemeana na mazingira ya mti wenyewe.
 
mkuu yawezekana kuna mtu anae kata upande wa pili ila hataki ajulikane kutegemeana na mazingira ya mti wenyewe.
Ni Kweli mkuu, yote yanawezekana. Katuni zinakupa uwanja mpana wa kutafsiri unachokiona.

Kwa mazingira yalivyo, yawezekana upande wa pili yupo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…