Yani unashindwa kuelewa kitu rahisi hivi?
Maziwa ya bure kwa sasa toka kwa wazungu nchi mfano leo unaona kusitisha kwa USA ambayo ni misaada imefungwa.anajaribu kutafuta watu wengine kupata misaada afrika
si mpaka uwe unajua what is going on around the wrld...kms hun interest? think wide!nyepesi sana hii ukishindwa kuelewa hii jua unaakili mnemba!