Kipanya unaakili sana!

Hii rangi nisivoipenda! Kwenye familia yangu sitaki kitu chochote cha kijani na njano. Hata papuchi ingekuwa ya kijani nisingeisogelea kabisa
 
Marekebisho yanakuja hadi rangi yake
nadhani kwenye jembe&nyundo panaweza
wekwa
Tembo&Dhahabu.
.........trekta & vifaa vya kungo'lea meno&kucha bila kusahau chopa la kuwapeleka south (S.A)kutibiwa
 
Du niliiona kwenye gazeti lakini sikuelewa Kipanya uko juu Kaza buti usirudi nyuma Huo ndio usani waukweli
 
Ni uma na kisu kwa sasa, mwenye kisu chenye makali ndo atakuwa wa kwanza kula nyama!!!! Chezea CCM wewe!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…