Kipanya unaakili sana!

Kwa kweli Kipanya yuko wazi na hamumunyi maneno wala kupepesa macho, kwake yeye ni kupiga za uso na kusonga mbele...
 
Marekebisho yanakuja hadi rangi yake
nadhani kwenye jembe&nyundo panaweza
wekwa Tembo&Dhahabu.
....kuna mambo makubwa mawili ambayo ni dhahiri yanawachelewesha ccm kufanya mabadiliko ya alama hizi. Hapana, ni mambo matatu yanayowachelewesha kama siyo manne, nayo ni:
  • kasi ya ajabu ya M4C-Oparesheni Pamoja Daima
  • spidi ya EL kwenda ikulu...
  • bunge la katiba....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…