Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
sasa si mtundike huyo kipanya, sio wote ambao wapo tanzania
mi namkubali james gayo,anachora katuni ya kingo kwenye gazeti hilo hilo la mwananchi,tukifika ofcn kila mtu anagombea gazeti la mwananchi ili tu amcheki kingo..
Yawezekana pia kuna watu wenye maono wanaotumia kipaji cha kp kuwasilisha hisia zao? Yawezekana yote hayo kuwa mawazo yake pekee?