Maana yake ni kwamba, serikali imejaa mapungufu mengi sana kiasi kwamba Wakosoaji wana option nyingi za ukosoaji, yaani anaamua leo nimpige upande upi Mafao, Korosho, Mikopo, SGR, Nsgege, Gas, Stiglers Gorge, Marupurupu na salary increments au katiba???Hakuna cha kukosoa upinzani umeminywa kulia na kushoto. Wote tunamkosoa ng’ombe aliyenona.
Great Thinker AsanteMaana yake ni kwamba, serikali imejaa mapungufu mengi sana kiasi kwamba Wakosoaji wana option nyingi za ukosoaji, yaani anaamua leo nimpige upande upi Mafao, Korosho, Mikopo, SGR, Nsgege, Gas, Stiglers Gorge, Marupurupu na salary increments au katiba???
Video sijaona bado
Maccm hawaoni ndani hapa, akili wamebakishiwa za kusifu na kuabudu visivyo abudika.Maana yake ni kwamba, serikali imejaa mapungufu mengi sana kiasi kwamba Wakosoaji wana option nyingi za ukosoaji, yaani anaamua leo nimpige upande upi Mafao, Korosho, Mikopo, SGR, Nsgege, Gas, Stiglers Gorge, Marupurupu na salary increments au katiba???