Kipanya nomaaaa, Isemee na wewe picha hii.

Kipanya nomaaaa, Isemee na wewe picha hii.

Bado Kidogo 2015

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
207
Reaction score
78
Kipanya Nomaaa.JPG

Huyo ni Kipanya jamani, kwa mantiki hii asitegemee hata siku moja kupata UDC tehe tehe tehe.
 
Hana shida,dogo ana ukwasi wa kutosha ndiyo maana hakimbizwi kifikra
 
Ndio maana alifukuzwa clouds ana mabo huyu!lol
 
I salute you the Great Thinker KIPANYA aka Kimouse
 
mkubwa! Jamaa huwa na mkubali sana,....sina swali hongera sana Masoud
 
huyu jamaa ni intelligent sana na bahati nzuri yuko open minded sana..si mnafiki kama wengi wa watu wa media

big up sana kipanya
 
Back
Top Bottom