Kipanya na TFF

Kipanya alipaswa awe kwenye nchi zinazojali vipaji vya watu na sio huku matopeni
Asingekuwa na kipaji alichonacho SASA...vipaji vinashehenezwa Sana na mazingira yanayomzunguka mhusika.
 
Kipanya yupo sahihi.Wanawake huwa hawana mzaha kabisa katika leadership isipokuwa kwa Samia ambae ana laana za Magufuli kwa sababu alishirikiana nae katika kunyang'anya watu haki zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…