Kipanya na mashaka juu ya tozo za miamala

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Ni kama anashindwa kuelewa ni vipi atayaamini maneno ya waziri husika.

Waziri wa fweezaaa anasema wamekusanya 48 billion kupitia tozo pekee kwa mwezi.

Sasa kipanya ana mashaka na kauli hiyo ya waziri lkn bado babake anamsihi sana akae kimya maana kuulizia ulizia matamko ya wakubwa ni hatari.

Screenshot_20210903-090319.jpg
 
Back
Top Bottom